December 13, 2009
December 5, 2009
Ni DIZO tena ambaye anafanya degree yake ya biashara nchini India mwaka wa mwisho.Hivyo basi, alifanya maojiano na BONGO PRODUCTION kuusu muziki na akasema kwamba alikua akiusoma muziki wa sasa ulipofikia kwakua apo zamani alikua akifanya hii kazi ya muziki.Basi kati kati ya maongezi alisema yakwamba ukimwa wake na utulizu ndio umakini kwani kuna track kama tatu ambazo alikua akiziandaa moja wapo ikiitwa NIANGALIE akiwa anampango wa kushirikisha BUYU BAYA nzima hivyo basi, aliomba kwawale wayokua wakimsikiliza toka zamani, wakae tayari na pia wataipata hapa hapa kwenye hii blog.
wassape
Subscribe to:
Posts (Atom)