December 3, 2010
June 21, 2010
June 20, 2010
Huyu ni msanii mpya kabisa katika game hili la bongo fleva, msanii huyu anajulikana kwa jina la Wyfil Dav. Wimbo wake wa kwanza kumtoa unaitwa Ninong'oneze ambayo aliifanya pale studio ya JML chini ya Producer Ababuu Mwana Zanzibar, na kilimtambulisha sana katika radio mbalimbali za hapa kwetu bongo.
Subscribe to:
Posts (Atom)