November 6, 2009

Bado wawili- Stopa Rhymes

Stopa Rhymes, anayejulikana kwa kuchanganya fleva tofauti ndani ya traki moja, anasema kwamba, moja kati ya changamoto tatu zinazokabili maendeleo ya muziki nchini, imeshadhibitiwa. Stopa anazitaja changamoto hizo kuwa ni ubora wa muziki, vyombo vya habari na upana wa soko. Anasema kwamba miaka ya hivi karibuni, ubora wa muziki umeongezeka kwa kiwango kikubwa kutokana na watu kufanya kazi kimashindano.

No comments: