Ni msanii ambae anajipanga vyema kabisa ,
wakati akijiendeleza na masomo ili kufanja
kazi zilizoenda shule .
HISTORY.
Ni msanii kutoka A-town aliye settle Dar kwa shughuli zake, alikuwa akifanya mziki toka enzi za kubeba begi na kuomba kushika mic, enzi za Cristal Club Arusha ikiwa inakuza vipaji.. Kama wasanii hawa wanakumbuka kina Domo kaya wakiwa na kundi la wandavaku kina Man dojo na Nick, enzi za kina Adam Mchomvu kushika mic. alikuwa akifanya kazi zake za kimziki kwenye studios za X-plasterz wakimsaidia na kina Prosper kama Producer msaidizi.
Enzi za kina Dada Ekekuu wakiwa wanafanya mambo Arusha. Alikuwa na kundi zima la Gost Bast Killerz ambalo lilikuwa likianza kuinuka kabla ya kuondoka A-town.
Alikuwa mmoja kati ya Wasanii waliokuwa wakikuzwa na Aangserian iliyokuwa kama kijiji cha amani na ndipo alipoona ndoto zake za kimziki zinaweza kuwa kweli na ndipo alipogundua ukweli kwamba yeye hakuuchagua mziki ila mziki ulimchagua yeye..
wengi waliokuwa wasanii wakati huo bado wanaendelea kutoka hivi leo, kama alivyoniambia kwenye interview yangu na yeye, kina stoper ryms enzi hizo walikuwa ndo viongozi na vinara wa music A-town. kuna kina Spark, Doggy G na wengineo wengi waliokuwa wakifanya mambo A-town.
alihamia DSM kufanya masomo yake ila pia aliendelea kuwa Mwanamziki mwenye ndoto ya kuukuza kipaji ndipo alikutana na watu wengi na alikuwa na kundi zima la UG Squad lililokuwepo kinondoni. aliweza kufanya kazi kadhaa ambazo hazikupata kusikika kwa kuwa alitakiwa kuingia nchini India kupiga shule..
Pia amenipatia clues ambazo kweli zinaonyesha anadam ya kimziki ambapo amesema Stan-Bway alikuwa ni mtu ambae alikuwa apige nae mishe nyingi kutoka kimziki ila amefurahi pia kusikia mchizi wake kafanikiwa na sasa ameonyesha kipaji. kafurahi saana pia Geez mabov yupo kwenye Game na hilo linampa changamoto kubwa kwa yeye kujipanga zaidi kufanya MAMBOZ.. zaidi ntaendelea kuwasiliana nae anipatie mipini au mixd tape yake au hata nyimbo moja mbili alizorecord nchini India akiwa na rafiki yake, Ndugu yake ambae na yeye kutoka UG Squad na sasa ni Producer wa kufa mtu akienda kwa jina la Vin.. ntawaeka mtamboni kutueleza lipi wanategemea kufanya na wapi ilipo UG Squa..
wassape

No comments:
Post a Comment