Kwenye Facebook kuna mtu analitumia jina langu na kujifanya kwamba yeye ndiye Mr. Blue, napenda kuwataharifu kwamba ukiliona jina limeandikwa MRBLU CABYCER ujue sio mimi huyo, mimi natumia jina la HERRY SAMEER, na utaiona picha kama hii iliyopo hapa kwenye blog ya BONGO PRODUCTION. Huyo mtu hata simjui na sijui kwanini kaamua kulitumia jina hilo la kwangu.
wassape
wassape
No comments:
Post a Comment