November 11, 2009

PRODUCER VIN

Producer Vin ndie hiyo na mwendo wa kasi zaid.Siku zote mwenye bidii ashindi na akishindwa basi hakua na bidii.Ni VIN ambae aliongea na BONGO PRODUCTION machache na kusema yakwamba yuko kwenye game toka zamani ila alisitisa kasi kidogo na kujiendeleza kimasomo zaidi nchini India.Tati kati ya maogiano alisema bado yuko mbioni ma mambo ya kuzinyonga beat,pia kuna kazi nyingi ambazo kaishavifanya kwahiyo huko mbioni kuuanza mziki rasmi ivi karibuni .
wasape

No comments: