November 22, 2009

MORACKA AJITOA RACKAZ


Mmoja wa wasanii wanaounda kundi la Rackaz, Mo Racka, amejitoa kwenye kundi na atafanya kazi kivyake kuanzia sasa. Mo amekataa kutoa sababu zilizopelekea kuchukua uamuzi huo wa ghafla lakini amesema ni muda wa kuangalia mambo mengine na kundi linaweza kusimama kwa hapo lilipofikia bila ya msaada wake.
wassape